Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali. Anyone who is...
5 Reactions
50 Replies
212 Views
Mwenyekiti wa Toyota, Akio Toyoda ameomba radhi leo Jumatatu kwa udanganyifu mkubwa katika majaribio ya uidhinishaji wa modeli saba za magari huku kampuni hiyo ikisimamisha utengenezaji wa matatu...
1 Reactions
12 Replies
686 Views
Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
9 Reactions
59 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri. Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
37 Reactions
205 Replies
3K Views
Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
2 Reactions
39 Replies
369 Views
Habari ninaomba msaada wa kisheria ili haki iweze kutendeka , nimetishiwa kudhalilishwa na Mtoa huduma wa Pesa X kama inavyooneka hapo chini.
5 Reactions
18 Replies
202 Views
SI MBAYA KUULIZAAAA NIMEWAZAA TU KAMAAA HAYA MAKAMPUNI YA SIMU YANAKOPWA NA JESCA AMA BETTY GAFLAAAAAA MM NATUMIWA MSG NA HAYA MAKAMPUNI YA KUKOPAAAA ATI NDUGU AMA MFADHILI WA BETTY UNAOMBWA...
0 Reactions
7 Replies
49 Views
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana. - Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda. - Interest ya Kagame katika vita za wengine. Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
24 Reactions
69 Replies
1K Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
59 Reactions
234 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,235
Posts
49,795,863
Back
Top Bottom