Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbaya zaidi anajikuna katikati ya mfereji. Halafu bila aibu anaenda kukuletea chakula na kulishika bakuli la mboga. Inatia kinyaa sana. Na hii tabia inatakiwa kupigwa stop.
8 Reactions
23 Replies
138 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
0 Reactions
7 Replies
14 Views
sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri...
2 Reactions
19 Replies
113 Views
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART). Video ya tangazo la jaribio la...
1 Reactions
16 Replies
326 Views
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
44 Reactions
165 Replies
7K Views
Kuna zoezi la ubomoaji wa jengo la zamani la DDC Kariakoo karibu na kituo cha Mwendokasi Msimbazi B, zoezi hilo linaloendelea linafanyika bila uwepo wa kizuizi chochote kulingana na madhari ya...
2 Reactions
9 Replies
151 Views
Club ya Real Madrid ya Hispania imetangaza rasmi kuwa imefikia makubaliano ya kumsajili Kylian Mbappe kwa mkataba wa miaka mitano. Mbappe anajiunga na Real Madrid baada ya kucheza PSG kwa miaka...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mijadala mingi hapa jukwaani ihusuyo punyeto…wengi wamekuwa wakieleza kwa hisia namna wanavo teseka na janga hili,wengine wamekuwa wakilibeza kwa kuwa wamekata...
14 Reactions
128 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,265
Posts
49,797,041
Back
Top Bottom