Mbaya zaidi anajikuna katikati ya mfereji. Alafu bila aibu anaenda kukuletea chakula na kulishika bakuli la mboga.
Inatia kinyaa sana. Na hii tabia inatakiwa kupigwa stop.
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna...
MOJAWAPO ya maswali magumu, ambayo mwanadamu amekuwa akitafuta majibu ni MIMI NI NANI, JE MUNGU NI NANI, n. k
Tumesikia pia, nchini Tanzania mwanamama anayejiita "Mfalme Zumaridi " akijiita...
Watanzania, kama wanavyojua wengi ukweli ni kwamba hii janja janja ya wazungu na wa Asia ya kumpa PhD za Bure Ndugu yenu wameshamjua udhaifu wake na hivyo wanacheza na akili yake. Mambo yaleyale...
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART).
Video ya tangazo la jaribio la...
Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana...
Salamu wakuu.
Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale. Mji huu haumkatai mtu kama ukiweka starehe mbele.
Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo. Pisi za Mji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.