Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024...
Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids).
Kulingana na takwimu...
👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi.
👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni.
👉Mkakati wa...
Lawama kila kanda. Kanda ya ziwa ndio hivyo.. Ujanja ujanja mwingi tu.
Huko nyanda za juu kusini ndio kabisa. Hadi kibaraka wa CCM Msigwa analia na kutoa makamasi
Dhuluma na ujanja ujanja...
Kama unabisha fanya utafiti viongozi Wote wasio na Chembe ya Uzalendo hawajawahi Kupata mafunzo ya Kijeshi
Pale UK baada ya changamoto ya Hamas iliyoitoa Dunia usingizini, PM Sunak amesema Kila...
Bahati mbaya Anakopa Pesa nyingi sana halafu zinaishia Mikononi mwake na familia yake pamoja na Mawaziri hazifiki kwenye target husika Mama akiondoka madarakani kuna vita itapiganwa hii nchi...
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo.
Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
Habarini!
Mimi nina swali hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha. Najiskia kuchoka sana. Everyday I must worry about something. Yani matatizo hayaishi. Is this life? Being in constant worry and...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.