Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote.
Hivyo ataendelea kukitumikia...
Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani.
Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.
Utangulizi
Mara ya Kwanza mkristo unapopata Neema ya kuhokoka , Roho Mtakatifu anaingia ndani yako na pale anapoingia ndani yako kuna kiu ya kutaka kumjua Mungu Sana inaingia ndani yako
Unakuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuanzia sasa hadi Januari 1, 2025 atakuwa amekamilisha kazi ya kuwanyoosha watumishi wa umma wasiokuwa wazalendo na wanaotanguliza masilahi yao...
Kwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000...
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri
Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia
Nadhani huu ni...
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Serikali inapo amua kufanya jambo na watendaji wanapo timiza majukumu yao hakuna kinacho shindikana.hatua ambazo serikali inapaswa kuzichukia kuwalinda wananchi na matukio ya taasisi/ vikundi vya...
ili kurejesha uimara wa misuli ya uume wako na kuifanya iwe komavu chukua kanuni hii
tafuta asali mbichi ya nyuki wa dogo
tafuta unga wa mvunje haltiti
tafuta mafuta ya zaituni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.