Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari! Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100% Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda...
84 Reactions
982 Replies
20K Views
Kiasi cha zaidi ya Tsh .Billion 20 zimepangwa kutumika awali kughalamia ujenzi wa tawi la chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), Mkoani Kagera. Akizungumza leo Mei 29, 2024 katika zoezi la...
0 Reactions
1 Replies
26 Views
Kumekuwa na kero nyingi toka kwa TRA mkoa wa Iringa zinazooelekea migomo ya wafanyabiashara wa bidhaa mbalimbali na hata sisi wafanyabiashara wa mbao tuna mgomo. Zifuatazo ni kero tunazokumbana...
1 Reactions
7 Replies
106 Views
Mimi binafsi nimezaliwa mwaka 1988 wakati ambao Tanganyika & Zanzibar zilikuwa kwenye muungano uliozaa Tanzania. Wiki ikiyopita niliamua kujipa likizo binafsi,kwakuwa ninafanya kazi nyingi kwa...
1 Reactions
23 Replies
145 Views
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi...
10 Reactions
60 Replies
602 Views
Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi. Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !! Nikikutana na lidada...
6 Reactions
56 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
ᴅᴀꜱ ᴍᴏʙɪʟᴇ ᴇꜱꜱᴇɴᴛɪᴀʟs ᴍᴀᴢᴏᴇᴢɪ ꜱᴏꜰᴛ 📞0622962627 ɪᴘʜᴏɴᴇ ʙʀᴀɴᴅ —-ɪᴘʜᴏɴᴇ x ɢʙ 64 ʙʜ 100 ᴄʟᴇᴀɴ ᴅxʙ ᴘʀɪᴄᴇ 450,000/=✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ x ɢʙ 64 ʙʜ 100 ᴄʟᴇᴀɴ ᴅxʙ 400,000 ɴᴏ ꜰᴀᴄᴇ 💔✅ ——ɪᴘʜᴏɴᴇ 11 ᴅᴍ ʙʜ 100ᴘʀɪᴄᴇ...
0 Reactions
1 Replies
49 Views
Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya...
1 Reactions
42 Replies
302 Views
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
15 Reactions
41 Replies
748 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,977
Posts
49,761,234
Back
Top Bottom