Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans🆚Kagera sugar FC 📆 08.05.2024 🏟 Azam complex 🕖01:00 usiku
2 Reactions
20 Replies
96 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania haya...
3 Reactions
14 Replies
74 Views
katika mazingira tofauti tofauti, mathalani mitandaoni, vyuoni na majukwaani kuna aina tofauti tofauti za wanasiasa na siasa. wapo vijana katika siasa, wazee, wanawake kwa wanaume. wapo...
0 Reactions
10 Replies
47 Views
Hii video nimetumiwa, jamaa huko mwanza kajirusha alikuwa kwenye daraja la mabatini. Chanzo inasemekana mambo ya mapenzi. Tukirudi kwenye hiyo video ukiangalia, wakati yuko juu watu wanampita...
2 Reactions
18 Replies
495 Views
Goood Morning, Habari za asubuhi wapendwa wana JF. Kabla sijajinyanyua kutoka hapa kitandani asubuhi hii ya leo, nimepokea taarifa mbili usiku wa kuamkia leo, taarifa za vifo watu wawili ambapo...
5 Reactions
20 Replies
106 Views
Kutokana na majukumu yaliyo nje ya uwezo wangu nawatakia kila la kheri na mwezi May. Majukumu kwanza mengine baadaye, c ya!
1 Reactions
8 Replies
120 Views
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa...
5 Reactions
122 Replies
2K Views
Wanakumbi. 🇵🇸HAMS KWA ISRAEL: UTAJUTA KUVAMIA RAFAH Taarifa Rasmi ya Hamas: "Hatua zilizochukuliwa na jeshi la kigaidi katika maandalizi ya shambulio dhidi ya mji wa Rafah, ambao umejaa wakazi...
4 Reactions
97 Replies
2K Views
Laiti mtoa sadaka angejua kwa yakini kwamba sadaka yake inapitia kwenye (mkono) wa Mwenyezi Mungu kabla ya kuingia mkononi mwa masikini, ingekuwa ladha ya mtoaji.. ni kubwa kuliko ladha ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Juzi rafiki yangu alikuwa ananipa stori kuhusu mama yake. Alichukua mkopo NMB kama miaka 5 iliyopita, akaweka hati ya nyumba yake kama dhamana. Uyo Mama kahangaika sana hadi akalipa deni lote...
15 Reactions
159 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,095
Posts
49,594,575
Back
Top Bottom