Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi nina miaka 40 naa... mim miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaan nikipiiga gori langu moja basi mpka keshoo Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine...
4 Reactions
55 Replies
603 Views
Habari 1. Wengine wanasema kuna Mungu Baba, mwana na roho mtakatifu 2. Wengine wanasema Mungu mmoja 3. Wengine nasikia wanasema ana nafsi tatu Na je kama ana nafsi tatu kwa nini munamuabudu...
1 Reactions
42 Replies
266 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Hapa hatujapigwa kweli wakuu?
5 Reactions
30 Replies
750 Views
Mods, kwanini mmefuta huo Uzi? Hakuna swali la kijinga!! Tafadhalini sana, hata kama mnatumia hii kitu, acheni ijadiliwe🙏
2 Reactions
23 Replies
126 Views
Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
0 Reactions
2 Replies
57 Views
Waamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo. Jambo hili lilionekana pia...
0 Reactions
9 Replies
178 Views
Habarini wadau.... Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu...
2 Reactions
28 Replies
546 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Kwahiyo Raia wote wa USE wanaweza kwenda popote pale duniani na kufanya biashara na kuoa na kufanya maisha yao bila vikwazo vya Visa nk. Utahitaji Visa labda kama unaenda sayari nyingine tofauti...
7 Reactions
20 Replies
192 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,753
Posts
49,583,643
Members
668,155
Latest member
mbalizi mbilinyi
Back
Top Bottom