Hello morning 🌞!
Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira.
Lakini utafiti wangu wa...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Kwanza Kabisa Pascal Mayalla amekiri kwamba yeye ni Mkatoliki aliyetukuka
Pili Father Kitima amekiri kufuatilia JF kila siku akipendelea zaidi Jukwaa la Siasa na lile la Elimu
Father Kitima...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35. Kwenye harakati za utafutaji nilijarbu vitu kadhaa wa kadhaa ili kufikia ndoto. Nilkua mcheza Dance nikaacha nikawa mchoraji nikaacha, nikawa mcheza soka...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa:
Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL...
Ndoa hizi zitatuua.Jamani ipo hivi .Mimi ni mme mwenye mke mmoja na mtoto mmoja.Mke huyu tumetoka nae mbali tulianza nae mwaka 2008. Changamoto aliyo nayo ni kelele na wivu uliopitiliza yani sina...
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.