Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje zanzibar.hata ule msemo wa kwenye bible kuwa asiyefanya kazi asile aje unguja atengue...
9 Reactions
51 Replies
1K Views
Habari ndio hiyo ni kweli ccm imechokwa ,Tena imechokwa lakini watanzania hawaoni mbadala wa ccm ! Wapinzani ndio wamechokwa zaidi hakuna mfano ! Wao wenyewe pia wamejichoka ! Uchaguzi ujao ni...
1 Reactions
11 Replies
316 Views
Ndugu wateja tumefungua BRIGHT CANDLES FUNERAL SERVICES Sinza karibu na Kitambaa cheupe bar. Gari kali Mercedes Benz c200, 220, Jeep Grand Cherokee, Land rover Discovery 4, Alphard, Noah na...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwenye mawasiliano ya Dr Nchimbi tafadhali! Au kama yupo humu Jf ili niingie PM nimtumie!! Ni ujumbe muhimu kwa chama changu Cha Mapinduzi.
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Match Day NBC Premier League Mashujaa Vs Yanga Lake Tanganyika Stadium Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
10 Reactions
26 Replies
199 Views
Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana Nawatakia Dominica Njema 😄
7 Reactions
60 Replies
351 Views
Nia ya Serikali ilikuwa nzuri sana kujenga Stendi ya Nyamhongolo ili iweze kuwahudumia wasafiri wote wanaoelekea upande wa Musoma, Sirari/Tarime, Bariadi, Maswa na maeneo yote ya upande huo...
2 Reactions
22 Replies
569 Views
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavhoendelea, nashawishika kusema walitaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
11 Reactions
60 Replies
990 Views
Ile kiu ya muda kiasi kumsubiria Katibu mkuu mpya wa CCM huenda ikakatwa leo. Je, ni Makonda, Dr Nchimbi, Komredi Sadifa, Dr Chalamila au nani? Kitendawili kutenguliwa Visiwani leo Mungu wa...
1 Reactions
16 Replies
881 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,309
Posts
49,570,101
Members
667,863
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom