Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
924 Reactions
1M Replies
40M Views
Faida ya hizi Radiocalls : 1.Hakuna haja kuwekeza kwenye Towers /Minara, Antennas,Base stations, Repeaters. Hivyo Initial investments ni Zero. 2.Hakuna limitation ya umbali /Coverage sababu...
0 Reactions
10 Replies
84 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
65 Reactions
344 Replies
11K Views
Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua. Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua...
6 Reactions
15 Replies
180 Views
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la mh Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa Zitto Kabwe amekubaliana na...
0 Reactions
35 Replies
381 Views
Wadada kuna ile time mkaka umemuelewa na unatamani awe boy wako ila ye hana habari na wewe mnafanyaje ili mkaka ajue kuwa unampenda?
7 Reactions
127 Replies
1K Views
Ufike wakati mtushawishi Kwa hoja hasa Kwa watu wa kawaida kabisa kwamba huu muungano umewanufaisha vipi au umekupa hasara Gani wewe binafsi. Binafsi Mimi muungano huu umenisaidia sana kutimiza...
1 Reactions
10 Replies
443 Views
Kwamaelezo ya Tundu Antipasi Lisu aliyoyatoa kwenye mikutano yake ya hivi kalibuni niwazi kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko Zanzibar, ndiomana tukawa tayali kuingia hata hasara ili...
3 Reactions
25 Replies
339 Views
TAARIFA YA MIAKA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR. 1. UTANGULIZI Ni historia ya kupigiwa mfano kwa Taifa letu kwamba tunaadhimisha miaka 58 ya Muungano wetu. ambapo nchi mbili huru...
1 Reactions
7 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,536
Posts
49,577,923
Members
668,028
Latest member
otienolucas
Back
Top Bottom