Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwanamke ambaye tangu utotoni ameishi bila kumuona baba mzazi au hana maelewano mazuri na baba yake mzazi huonyesha tabia zifuatazo ukubwani 1.Kung'ang'ania mahusiano yenye manyanyaso, vipigo...
6 Reactions
40 Replies
698 Views
Wanaotumia honda Fit, naomba mniulize chochote tushirikishane uzoefu. Watu wengi wamekuwa wakiharibiwa magari yao kwa sababu tu ya kukosa uzoefu Kuhusu Honda Fit Asante
2 Reactions
28 Replies
252 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
58 Reactions
308 Replies
9K Views
Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja. Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya mchezaji ambaye hajakamilisha vigezo vya usajili wake je anaruhusiwa kucheza? Na kama haruhusiwi mpaka akamilishe...
0 Reactions
9 Replies
73 Views
KIMBUNGA HIDAYA MAWINGUNI WATOTO WANACHEZA MPIRA WA MAKARATASI PEKUPEKU MTAANI Jioni inakimbilia Maghrib na kama kungekuwa na jua mtu angeweza kuliona limebadilika rangi linaenda kuzama upande wa...
0 Reactions
1 Replies
47 Views
Wanakumbi. MAMLAKA ZA ISRAEL WAVAMIA SHEREHE ZA KANISA HUKO YERUSALEMU Matukio ya machafuko leo wakati wa sherehe za kila mwaka za Moto Mtakatifu. Mamlaka iliwakamata maafisa wa usalama wa...
3 Reactions
56 Replies
1K Views
Mjadala wa Tume Huru ya Uchaguzi umepamba moto Wakati Sheria imeshapitishwa yaani tunafunga Zizi la ng'ombe Saa 4 asubuhi Ingekuwa vema wale walioshuhudia kivumbi Cha Uchaguzi mkuu wa 2015...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mwaka huu uwanja wa Benjamin Mkapa unatimiza miaka 17 toka kuzinduliwa kwake. Katika kipindi hicho chote uwanja umetumika kwa shughuli nyingi za soka, serikali na dini. Moja ya eneo muhimu la...
3 Reactions
6 Replies
176 Views
Simba watamsajili djuma Shabani kama mbadala wa kapombe Baada ya kuachana na klabu ya Yanga msimu uliopita Na kutua Azam FC, beki wa kulia raia wa Congo DR Djuma Shabani anategemea kujiunga na...
3 Reactions
13 Replies
618 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,493
Posts
49,576,790
Members
668,010
Latest member
Kasawala Mussa
Back
Top Bottom