Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Wasalaam Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu. Ilikuwa...
2 Reactions
8 Replies
154 Views
Ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao.. Mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya...
3 Reactions
8 Replies
200 Views
Ripoti ya Utafiti ya Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) iliyotolewa Mei 3, 2024 imeonesha #Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kati ya Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari upande wa...
1 Reactions
15 Replies
81 Views
Muhimu: Elewa neno asilimia kubwa haimanishi ni wote, hata wazaramo wakimya wapo lakini asilimia kubwa ni waongeaji Introverts ni watu ambao wanapenda kuwa peke yao muda mwingi, mkikutana...
4 Reactions
39 Replies
411 Views
Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na...
8 Reactions
18 Replies
450 Views
Hakyanani sijui kama kuna nchi nyingine hapa duniani ina Vituko vya kila Kukicha kama ya Tanzania na Wakuu wake.
1 Reactions
3 Replies
55 Views
Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
18 Reactions
202 Replies
4K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Wakuu, nilikuwa na mpango wa kufungua biashara ya bia za jumla naomba kujua bei zake.
1 Reactions
1 Replies
6 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,905
Posts
49,559,001
Members
667,701
Latest member
zacharia erick
Back
Top Bottom