Nawakumbusha tu
Maana huwa mnajisahau sana hlf mkipigwa kitu kizito mnakuja hapa mbiombio kujiliza hapa na kutupa taabu ya kuwashauri.
SIWAFOKEI ila tusilaumiane uko bdae.
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya.
Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii...
1. Vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu ni sehemu nyeti Kwa usalama wa taifa kama ilivyo Kwa jeshi.
2. Ni ukweli usiofichika kuwa bongo bora kabisa katika nchi katika kizazi husika hupatikana...
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
Watu wengine hudanganyana kuwa ukitaka kuwa raia wa nchi Fulani basi oa Mwanamke wa hiyo nchi unayotaka kuwa raia .Nchi nyingi dumiani haziko hivyo.Mwanamke aliyeolewa ndie hupewa uraia sio...
Computer yangu aina hp desktop haiwaki imeanza juzi ilikuwa inawaka na kujizima hapo hapo jana nikaiwasha ikawa inaonekana elimewaka lakini hai display chochote kwenye monitor na pia feni ya...
Katika dunia ya sasa, tunaona shetani akitumia wasanii mbalimbali kuharibu kizazi hiki.
Tumeona wasanii wa bongo fleva watu wote waliojiunga na freemasonry, wakija na project mbali mbali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.