Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
8 Reactions
31 Replies
422 Views
Is to form everything new, new country, new leadership system, even the brains of people must be new, we need to throw away the brains from the Europeans and e.t.c Africa must be united
0 Reactions
6 Replies
44 Views
Salaam, Shalom! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
22 Reactions
208 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Waziri mwandamizi na Jenerali wa Jeshi la Israel Ben Gantz atafanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali aliyoipata akiendesha baiskeli Kusini mwa Israel Waziri huyo amepata...
0 Reactions
1 Replies
29 Views
Makocha wa kigeni wakitimuliwa, anapewa timu kuiongoza huku viongozi wakiwa busy kutafuta mzungu kuja kuwa boss wake. Yaani Mgunda anatumika mara 1 kama toilet paper au ndomu. Hili ni tatizo.
11 Reactions
40 Replies
684 Views
Salaam, Shalom. Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko. Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu...
2 Reactions
19 Replies
465 Views
Habar wadau? Napenda kufuga nguruwe ila sina uzoez wowte ndo nataka niingie ktk game! Mwenye experience anisaidia, mbegu bora banda bora.
2 Reactions
15 Replies
659 Views
Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua...
4 Reactions
45 Replies
1K Views
Nawashauri vijana WANYAKE MASOKO MAWILI TU MAKUUUBWA SANA NA YOTE YATAMEZA VIJANA WOOTE WAKIACHA UVIVU. 1. CHINA WAMETUPA SOKO LA SOYA BEANS la ukubwa wa tani 400,000 kila mwaka Tanzania kwa...
4 Reactions
23 Replies
336 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,709
Posts
49,525,700
Members
667,216
Latest member
mrisho salum
Back
Top Bottom