Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jana nilipita Baa Moja hivi usiku mkali kula, nikakuta ndio Bar inakaribia kufungwa. Ghafla nikasikia malumbano kati ya Meneja wa Baa na kabinti kamoja hivi (waitress). Kumcheki yule waitress...
65 Reactions
299 Replies
7K Views
Ama kweli: KNOWLEDGE IS POWER.. Kama haya ndiyo matusi tunayoambiwa na kina Makonda, basi iko shida mahali bila shaka. Yaani ukweli kwa hawa ndugu zetu, kwao ni matusi...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Wewe kijana mwenzangu, achana na mawazo ya kupinga CCM, nafikiri ni hekima kupinga uovu, kuwakataa waovu, naamini upinzani wa namna hii utatoa matokeo makubwa ukiwa ndani ya CCM kuliko huko nje...
4 Reactions
14 Replies
229 Views
Shalom, Kama mdau wenu mimi Wadiz naandika yafuatayo katika Hali ambayo naamini ndiyo ipasayo katika hoja mbalimbali zenye mashiko na kulinda uhalali wa baadhi ya wenye kukataa kuoa. Na katika...
3 Reactions
17 Replies
108 Views
Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi. kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa...
2 Reactions
6 Replies
84 Views
Hivi vile vitambulisho vya wauza madafu (wajasiriamali) viliishiaga wapi? eti TSH 20,000/=?
2 Reactions
24 Replies
370 Views
Hakyanani Mtani wangu wa Kiha ( Mkoani Kigoma ) Kocha Msaidizi wa Simba SC nimekuvulia Kofia Muha Wewe.
1 Reactions
3 Replies
46 Views
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel). Maafisa wa polisi...
6 Reactions
56 Replies
779 Views
Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hivi ni haki kulala na wazazi mama yake anangangana kuwa ni kawaida. Ana chumba chake kizuri na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama. Mnaonaje wakuu...
11 Reactions
59 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,399
Posts
49,518,191
Members
667,103
Latest member
nicolaus9991
Back
Top Bottom