Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzima na Afya Tele ziwe kwako wewe mwana JF. Katika kukua kwangu Hadi najitambua na kupata akiri na hatimae NaMi kuwa na familia ya Watoto kazaa na michepuko pamoja na watoto wa Nje pia. Mimi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani...
0 Reactions
5 Replies
69 Views
Unapopanda gari la umma kama kiongozi mwenye dhamana jiandae kisaikologia pia kushuka na kuwa RAIA wa kawaida. Tunategemea kupata mabadiliko makubwa katika nyanja ya kisiasa kuanza mwezi Mei,2024...
4 Reactions
25 Replies
876 Views
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi. Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi. Karibuni kwa maswali.
22 Reactions
79 Replies
910 Views
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA" Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka,Jijini Arusha,hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya...
2 Reactions
11 Replies
73 Views
Wakuu habari za weekend Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye...
9 Reactions
135 Replies
1K Views
Kwanza kabisa napenda kuweka waZi kuwa kila kitu katika huu Uzi ni ukweli mtupu na ndo Hali nayopitia katika maisha yangu Pia Kuna Mambo utaona nilikuwa nafanya au naendelea kuyafanya kama mjinga...
23 Reactions
116 Replies
11K Views
Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi...
16 Reactions
60 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
148 Reactions
12K Replies
4M Views
##Kwanini waimbaji walio wengi wa taarabu ni wa jinsia ya kike? ##Kwanini nyimbo nyingi zinahusu mambo ya mahusiano/mapenzi? si ajabu kukuta kati ya nyimbo 10 zinazoimbwa zote ni za mahusiano...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,305
Posts
49,514,862
Members
667,059
Latest member
latifeh6243
Back
Top Bottom