Ni kipindi kirefu kimepita nikiwa nimekwama kuamua yupi ni mahiri zaidi kwenye uandishi wa nyimbo za dini kati ya Bahati Bukuku na Rose Mhando. Kwanza, Hawa wamama wana uwezo wa ajabu katika...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Kati ya siku ambazo sitazisahau kwenye maisha yangu yote ni leo.
Muda wa saa nne asubuhi nimeenda kutembelea biashara yangu moja mtaa fulani hapa hapa dar . Biashara ilipo lazima utumie bodaboda...
Wasalaam
CHAMA kipo madarakani zaidi ya miaka 60 lakini,
1. Barabara mbovu
2. Maji Safi na salama ni shida
3. Elimu mbovu
4. Afya duni
5. Lishe duni
6. Viongozi kuishi kwa anasa
7. Umasikini...
Salaam, Shalom!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
Nimeingia Bariadi kuelekea kwenye utalii wa ndani Gambush. Katika pita pita nimekaa kijiwenii najadiliana na wazee kuhusu mkoa huu pendwa.
Kwanza niwakumbushe kwamba huku ndipo wanapotoka akina...
Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje?
Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi...
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.