Hello everyone,
I'm reaching out for advice and perspective on a challenging situation I've found myself in. My name is David, and for almost three years, I've been in a relationship with Sarah...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
salamu wanandugu,
Kama kichwa cha uzi .
Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale...
Nilikuwa safari yangu kuelekea Chato nikasimama mji mdogo wa Katoro nje kidogo ya Geita, nikaenda sehemu kupata huduma ya vitu mbalimbali kisha nikaona nikiapate huduma ya kifedha na mambo mengine...
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!
Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta...
So when I grew up, especially in school life, I had zero confidence with women. Partly due to my moral upbringing (I guess) but also I lacked experience. We were mostly supposed to stay at home...
Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.