Rejea mada tajwa,
Huu ni uzi wa kupeana plan/mipango mbalimbali ambayo kama vijana tunaweza kufanya kwa mwaka huu na kupata kipato ili kukabili adui namba mbili UMASKINI.
Me kwa upande wangu...
Kiongozi Mkuu wa ACT WAZALENDO, Zitto Kabwe, katika maelezo yake amedai kwamba walifikia Makubaliano na Mbowe ili yeye achukue uenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe, Amezungumza mengi , lakini...
Hilo limethibitishwa nchini Ukraini katika uwanja wa vita ambapo vifaru maarufu vilijulikanavyo kama Leopard (kutoka Ujerumani), Challenger (kutoka Uingereza), pamoja na Abraham's (kutoka...
Huu ndio ukweli mchungu watanzania wengi wamewahi kwenda kwa wataalam ila huwa ni siri ya kufa nayo kaburini, hakuna atayekubali kama ameenda au huwa anaenda kwa mganga
wahalifu hasa wa...
Ninavyojua mimi hakuna mchaga fala linapokuja swala la hela yuko radhi hata kuua mtu ilimradi dili lisimpite kando.
Sasa nililipoona wachaga wapo interested sana kuwa mapadre nikajua tayari kuna...
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi...
Pacoume ni moja kati ya mchezaji pendwa katika kikosi cha Yanga SC, siyo pendwa kwa kocha bali hata kwa mashabiki kutokana na kipaji chake cha kusakata kabumbu .
Cha kushangaza kumetokea...
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana
Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.