Za jion wana jamii,
Naimani mko powa wote
Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo...
Wakuu nilienda kuchumbia kwa binti mmoja wa kisukuma/ mnyantuzu huku maeneo ya bariadi na wakaniambia nitoe 4.5milioni nimejikakamua nimetoa 1milioni na binti ni msukuma/ mnyantuzu na ni msabato...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Ni kipindi kirefu kimepita nikiwa nimekwama kuamua yupi ni mahiri zaidi kwenye uandishi wa nyimbo za dini kati ya Bahati Bukuku na Rose Mhando. Kwanza, Hawa wamama wana uwezo wa ajabu katika...
Hao wafia Dini wanaoandama kuitetea HAMAS halafu Polisi wa Marekani wanawagusagusa tu,hebu Serikali ya Marekani waombe msaada kwa Tanzania kuzima hayo maandamano.
Vijana wa FFU wapewe hiyo...
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.