Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi. Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
7 Reactions
43 Replies
904 Views
Hivi ni kwanini jua linapochomoza na linapokaribia kuzama sio Kali sana kama linavyokuwa muda wa mchana? Wajuzi karibuni. Asante sana.
4 Reactions
33 Replies
463 Views
Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
0 Reactions
6 Replies
138 Views
Hii vita ni kali sana na ilianza tangu wakati wa Nyerere alipotaifisha majumba ya watu wa asili ya watu fulani..Ikaendelea wakati wa Mkapa alipochoma ngano za mfanyabiashara fualani bila vigezo...
10 Reactions
41 Replies
728 Views
Guys ninaomba ushauri, Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi. Wakati huo yeye alikuwa na kazi...
6 Reactions
52 Replies
886 Views
Habarini wakuu! Natumaini mu wazima, poleni sana kwa wale ambao hali zenu haziko sawasawa na vile mpendavyo. Niende moja kwa moja kwenye mada! Nimeandika vitabu viwili ambavyo nilipanga...
2 Reactions
7 Replies
364 Views
Poleni na mapambano ya kimaisha, kijana mwenzenu nina shida ya mbolea ya kukuuzia mfuko mmoja anayeweza kunisaidia, kunikopa nitashukuru, LOCATION:NJOMBE MAKOWO
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye. Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
1 Reactions
13 Replies
261 Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
39 Reactions
381 Replies
16K Views
Hello mambers, Naomba sana msaada wenu, niliomba kazi kwenye shirika moja la wa Norway, juzi nikatumiwa email kuwa nimekuwa shortlisted hivyo nitafanya interview via zoom. Naomba kuuliza maana...
1 Reactions
8 Replies
127 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,961
Posts
49,501,917
Members
666,900
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom