Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
10 Reactions
212 Replies
9K Views
Hao wafia Dini wanaoandama kuitetea HAMAS halafu Polisi wa Marekani wanawagusagusa tu,hebu Serikali ya Marekani waombe msaada kwa Tanzania kuzima hayo maandamano. Vijana wa FFU wapewe hiyo...
1 Reactions
10 Replies
187 Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
40 Reactions
393 Replies
17K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
3 Reactions
15 Replies
129 Views
Madereva wa Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara hii ya usafiri na endapo kampuni hizi hazitachukua hatua basi zitakufa hivi karibuni -Madereva hawa huwa wanachelewa sana kumfwata mteja...
9 Reactions
28 Replies
397 Views
Baadhi ya matendo ya Jeshi la Polisi, yanawafanya wananchi wema, wenye hekima na uzalendo kwa Taifa lao, kujiuliza: 1) Jeshi la Polisi ni sehemu ya ujambazi na uharamia? 2) Au ndani ya Jeshi la...
10 Reactions
56 Replies
1K Views
Habari wakuu Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo? Maana Jana kapanda...
2 Reactions
9 Replies
179 Views
Wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam na unahitaji Simu Kali kwa Gharama Nafuu? Huitaji kuhangaika mambo yawe mengi tucheki moja kwa moja dukani. MZIGO NI MPYA & GENUINE Pia tunafanya huduma zote ya 🔝...
8 Reactions
46 Replies
730 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,966
Posts
49,502,143
Members
666,900
Latest member
Unyade wade
Back
Top Bottom