Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii. Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali. Maana...
9 Reactions
86 Replies
4K Views
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa...
9 Reactions
76 Replies
592 Views
Habari wana jamvi. Igbo ni kabila linalo patikana Kusini Mashariki mwa nchi ya Nigeria na nchi nyingine jirani. Kabila hili limesambaa nchi nzima ya Nigeria hasa kwenye majiji makubwa kama Lagos...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Napowaambia kuwa David Kafulila ni CHuma nakuwa namaanisha ni CHuma kwelikweli na Mzalendo wa dhati Wa Taifa letu,ambaye huwa hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa...
8 Reactions
23 Replies
212 Views
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo. Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
4 Reactions
36 Replies
661 Views
Hizi majuzi Papa Francis amelazimika kuomba radhi hadharani baada ya taarifa kuvuja kwamba kwenye kikao cha hivi karibuni na makadinali 250 wa Italia, Papa alitukana mashoga. Kwenye kikao hicho...
0 Reactions
3 Replies
18 Views
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
2 Reactions
34 Replies
328 Views
Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga, Bw. Fadhili Nkurlu kuanzia leo Julai 15, 2018 Nafasi yake inachukuliwa na Bw. Anamringi Macha aliyeteuliwa leo.
3 Reactions
283 Replies
67K Views
Natamani niwashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa vyenye nguvu nchini ilikujenga Bunge lenye checks & balance. Ili kutekeleza hilo lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya...
6 Reactions
107 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,876
Posts
49,787,938
Back
Top Bottom