Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa...
5 Reactions
44 Replies
362 Views
Unaweza ukawa na haki na kweli. Lakini kwa hali iliyopo ambapo CCM/serikali inatafuta upenyo wa kuiua chadema, usingelifanya hivyo. Umewapamaadui wa chadema mahali pa kuania. Unadhani covid 19...
1 Reactions
1 Replies
6 Views
Skuizi kuna tabia imeanzishwa wasanii wanasema wamenunua magari Ila wakitembea nayo hayawekwi plate no wasanii ukiwafuata Maisha Yao watakupoteza,
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni! Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi...
25 Reactions
60 Replies
2K Views
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe. Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu...
16 Reactions
63 Replies
1K Views
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo. Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
2 Reactions
26 Replies
411 Views
Bibie Claudia Sheinbaum anatarajia kishinda Uchaguzi wa Mexico baada ya matokeoa ya Uchaguzi kuonesha akiongiza Kwa asilimia 60% Dhidi ya Mpinzani wake Mwanaume. Huyu atakuwa ni Rais wa Kwanza...
2 Reactions
67 Replies
458 Views
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
1 Reactions
17 Replies
158 Views
Habari za muda huu JF members and staff members nina changamoto hii naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia hii PM(private message) mana kila mara nikijaribu kutumia huwa inafikia stage hii hapa katika...
0 Reactions
29 Replies
249 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,863
Posts
49,787,620
Back
Top Bottom