Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
12 Reactions
72 Replies
2K Views
Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana..na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi...
3 Reactions
39 Replies
404 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
6 Reactions
125 Replies
3K Views
Ni kitu gani kinakukera kwa wanawake wenye Misambwanda mikubwa? Tiririkaaa!
0 Reactions
3 Replies
81 Views
Habarini, Nimeona haszu akipondwa na wanaume wa jf kwa kujiita "handsome" wengine wakimtuhumu kuwa ni shoga etc. Ingawa ni kweli baadhi ya wanaume handsome ni mashoga, lakini haimaanishi kwamba...
12 Reactions
65 Replies
1K Views
Nimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune...
3 Reactions
49 Replies
748 Views
Kim Jong Un amesema nchi za ulaya zinainyonya Africa kwa kile walicho waghirib eti Mungu wao ndo mungu wa kweli wakati ulweli ni kwamba Africa inapaswa kuondokana na ukoloni huo. Ikumbukwe korea...
3 Reactions
6 Replies
243 Views
Baadhi ya wanachama wa Chadema akiwemo Kamanda Maranja wamesema wanashangaa kuona TV za CCM zikijazana nyumbani kwa mchungaji Msigwa kuripoti Mkutano wake Maranja amesema TBC, Channel ten, Ayo TV...
1 Reactions
9 Replies
247 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,879
Posts
49,788,083
Back
Top Bottom