Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dakika za jioooooniiiii kwa sauti ya Pascal Kabombe, Nasreddine Nabi anakaribia kuukosa Ubingwa wa Morocco baada ya kuongoza ligi karibia msimu mzima. Baada ya matokeo haya, Raja Casablanca kwa...
1 Reactions
7 Replies
369 Views
Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini. Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena...
19 Reactions
86 Replies
2K Views
Wakuu nimeamini sisi wakulima wadogo wadogo hatutokaa tupate utajiri kupitia kilimo kamwe, Nimeshangaa bei za mahindi kwa huku Handeni mpaka sahivi eti gunia ni 35000 ukizingatia mahindi ya mwaka...
3 Reactions
14 Replies
501 Views
Ukienda police unapewa RB JAPO sijuagi kirefu chake
1 Reactions
41 Replies
32K Views
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe. Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu...
9 Reactions
40 Replies
594 Views
Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili. Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali...
4 Reactions
42 Replies
573 Views
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
4 Reactions
46 Replies
314 Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
4 Reactions
74 Replies
2K Views
Kuna mjumbe wa mtaa wangu leo aliniambia CCM inaandikisha kadi za chama na pia inachukua namba za NIDA! Nani ameruhusu zoezi hili?
1 Reactions
18 Replies
304 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,782
Posts
49,786,225
Back
Top Bottom