Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8 Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua) Ametangaza kukata...
14 Reactions
104 Replies
2K Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
2 Reactions
60 Replies
1K Views
Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao...
3 Reactions
35 Replies
207 Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
Kwakweli kumekua na kero sana kwa manesi walipo hospitalini hapa, wamekuwa wakitoa maneno ya kashfa na kejeli hasa kwa manesi wa clinic, Ni maneno mabaya na ya kejeli sana yakiambatana na...
0 Reactions
4 Replies
96 Views
Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana. Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Kule X jamaa tayari kafuta taarifa zote za CHADEMA kabakiza hizi. Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe. Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo...
4 Reactions
48 Replies
1K Views
Natafuta mtaalamu kutoka Tanga kwa msisi...! Mtaalamu wa uhakika malipo ni baada ya kazi
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakati 30% ya vituo vimeshatangaza Matokeo ANC wanaongoza kwa 43% Ili iunde serikali ANC wanatakiwa kupata 50% ya Kura lakini wachambuzi wa siasa wanasema inawezekana wasipate na hivyo...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
23 Reactions
153 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,779
Posts
49,786,100
Back
Top Bottom