Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili. Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali...
6 Reactions
48 Replies
655 Views
Kaka yangu Tate Mkuu, shida ni nini? Dada zako ni mnyoosho wa suruali kwa kwenda mbele. Sijawahi kuona mrembo wa kisambaa mwenye wowowo. Ni flat screen ileile. Nimemuacha mmoja mwaka mmoja nyuma...
8 Reactions
66 Replies
1K Views
Natafuta Mtaalamu wa Kurejesha Mahusiano. Malipo ni baada ya kazi.
8 Reactions
51 Replies
497 Views
Habarini wakuu nina omba kujua soko la mkaa mkoani Tanga na Dar es Salaam pamoja na bei! Nataka kuja kuuza mkaa katika mikoa hiyo! Aliyetayari tufanye biashara tuwasiliane kwa 0687391885
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Kule X jamaa tayari kafuta taarifa zote za CHADEMA kabakiza hizi. Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe. Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo...
5 Reactions
69 Replies
2K Views
DAR ES SALAAM MWIGIZAJI nyota wa kike, Elizabeth Michael ‘Lulu’ sasa atatumikia kifungo cha nje katika kesi yake ya kukuua bila kukusudia baada ya kubadilishiwa kifungo. Novemba 13, mwaka 2012...
5 Reactions
97 Replies
2K Views
Mpango wa raisi Biden ili kumaliza vita vya muda mrefu vya Israel na Hamas una hatua tatu muhimu. YA KWANZA Ni kusitisha vita kwa muda wa wiki sita(mwezi unusu) ili mateka wa Israel hasa wa...
1 Reactions
8 Replies
228 Views
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,830
Posts
49,786,946
Back
Top Bottom