Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi. Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao...
11 Reactions
63 Replies
1K Views
Habari, Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya...
12 Reactions
19 Replies
291 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024...
5 Reactions
104 Replies
1K Views
Nadhani Tanzania bado ni darasa na shule kuu ya kipekee mno ya demokrasia barani Africa. Ni nchi pekee ya wananchi wasiozingatia ukabila, ukanda wala rangi ya mtu kwenye uchaguzi. Shukrani za...
3 Reactions
127 Replies
2K Views
IKIWA UNA MIAKA 35 NA ZAIDI NA HUONI KAMA WEWE NI MUHUSIKA KATIKA SHUGHULI ZA KIJAMII KAMA MISIBA, HARUSI NA MAENDELEO, JIPIGE KIFUANI MARA TATU Na Comrade Ally Maftah. Ikiwa una kiwango cha...
0 Reactions
9 Replies
117 Views
Kila mnapojaribu kuwafuta Wayahudi, ndivyo wanazidi kuneemeka na kuitawala dunia, ifike mkubali kuishi nao kwa amani, dini inawadanganya, hamtaweza kufuta Wayahudi wapo kote. Haya huyu hapa...
2 Reactions
29 Replies
618 Views
French President Macron to announce: "Europe is at war with Russia" on June 6 JUNE 02, 2024 June 6 will be a landmark day for the whole of Europe. France will officially make the first...
7 Reactions
54 Replies
1K Views
Mchezaji wa Azam FC Feisal Salum amekimbia uvaaji wa medali za mshindi wa pili Kombe la Shirikisho baada ya kupoteza kwa mikwaju ya penati dhidi ya Yanga. Feisal alionesha ishara ya...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo. Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
19 Reactions
124 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,727
Posts
49,784,547
Back
Top Bottom