Stephanie Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana na mwenye uwezo mkubwa na umuhimu wake ni mkubwa ndani ya yanga sc, lakini hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro;
Aziz Ki ana ubinafsi flani hivi uwanjani...
Habari wakuu
Naitwa Shemasi Pascal Weston. Kutoka St. Joseph Dar es salaam
Ni muandishi wa vitabu mbalimbali vya Sheria, Haki za binaadamu, motivation pamoja na kufanya research mbalimbali...
MJUMBE HAUWAWI.
Nimepitia comment kwenye hii post.
Wanaume wanamalalamiko mengi sana yenye tiija juu ya hoja hii.
Swali likanijia, je anaweza kufika Moshi na asifike kileleni?
Nikaendelea...
Jamani moja ya kitu ambacho wazungu wametupiga K.O nacho ni hili.
Wachambuzi wengi walimwingiza mkenge Fei kwa kigezo cha kusema eti Mpira ni ajira na kuna siku utafikia kikomo. Yes, tunakubali...
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
Kama kawaida yangu nikiwa na mdodoza mfanyabiashra tajiri mkubwa sna hapa Dodoma Ni mzee simple sna ukimuona huweZi dhani kuwa Ana pesa.
Basi kutoka na ninayo yaona Happ ndani ya nchi hi ikabidi...
Yassin Mustafa ana uwezo mkubwa kuliko Joyce Lomalisa Mutambala kwa Beki ( Mbavu ) ya Kushoto.
Zawadi Mauya ana uwezo mara 100 kuliko Mchezaji wa Newcastle United ya katika Photoshop ya...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
NILIMWONA Stephane Aziz Ki katika pambano la Yanga dhidi ya Real Bamako wiki iliyopita.
Alitolewa wakati wa mapumziko na hakuna shabiki wa Yanga ambaye alishangaa au kuchukia. Huenda Aziz Ki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.