Nahisi tatizo lako ni kumuunga mkono Tundu Lissu ndio sababu ukaletewa bilionea akung'oe.
Wewe ni mtoto wa Kimasikini hizo siasa hutaziweza njoo CCM upate pumziko la kweli la kisiasa.
Mbowe...
Kama kawaida yangu nikiwa na mdodoza mfanyabiashra tajiri mkubwa sna hapa Dodoma Ni mzee simple sna ukimuona huweZi dhani kuwa Ana pesa.
Basi kutoka na ninayo yaona Happ ndani ya nchi hi ikabidi...
Baadhi ya waendesha pikipiki Jijini Dar es Salaam wameomba kuambatanishwa kwenye ziara za Rais Samia Suluhu Hassan anazozifanya nje ya nchi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wao.
Maombi hayo...
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
BEN STILLER
Miongoni ya Movies zake:
1: Night at the museum
2: Along came Polly
3: Meet the Fockers
4: Tropic Thunder
5: Zoolander
ADAM SANDLER
Miongoni ya movies zake:
1: Anger Management
2...
Wazee wenzangu wa mikeka kuna mwingine yeyote anashindwa kutumia akaunti yake ya PM BET kwa kuletewa ujumbe kuwa "huwezi kutumia akaunti hii. wasiliana na utawala". Ni mwezi mmoja sasa nilideposit...
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
Nikiri katika màisha yangu Tangu nimeanza kushabikia soka hili ni tukio la Kwanza kwangu mchezaji kususia makusudi kuvalishwa medali bila sababu ya msingi.
Huwa nawaona Wachezaji majeruhi nao...
FAHAMU ARGI PLUS (+) MAANA YAKE | KAZI ZAKE | FAIDA ZAKE | MATUMIZI YAKE
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
FOREVER ARGI+ ni bidhaa bora kabisa kutoka katika kampuni yetu ya Forever living...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.