Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London. Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
4 Reactions
34 Replies
178 Views
Ukipitia diary / shajara za waliokuwa ma DC wakati wa serikali ya mkoloni utaona walipewa majukumu mengi ya jinsi ya kuendesha tawala za mikoa na serikali za mitaa. Ambapo DC hakutakiwa kukaa...
3 Reactions
20 Replies
541 Views
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
37 Reactions
262 Replies
4K Views
Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia...
1 Reactions
1 Replies
28 Views
Wakuu, Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu. Mimi...
17 Reactions
121 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Mh Mwanasheria msomi Tundu Lissu, ninafuatilia sana ziara zako nchini, Ni Kweli unafungua macho Watanzania juu ya yanayoendelea nchini, Kwa sasa, Nchi yetu inazo ndege za...
1 Reactions
5 Replies
38 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa...
6 Reactions
74 Replies
2K Views
Wakuu wa AI Ni app gan naweza kutumia kugenerate maandishi kutoka kwa sauti kufanya yawe maandishi
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi...
24 Reactions
139 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views

FORUM STATS

Threads
1,859,321
Posts
49,771,905
Back
Top Bottom