Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Japo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana...
2 Reactions
36 Replies
481 Views
Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi...
20 Reactions
86 Replies
2K Views
We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.
30 Reactions
66 Replies
2K Views
Tunawashauri wenza wanaopanda mlima Kilimanjaro wasifanye tendo la ndoa /ngono Mlimani. Kwa sababu ukifika kule utaelewa, supply ya oxygen ni ndogo ndani ya mwili na demand tayari ni kubwa. Ile...
6 Reactions
26 Replies
222 Views
Habari zenu, Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia: "Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali...
28 Reactions
637 Replies
17K Views
Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya...
7 Reactions
60 Replies
856 Views
Wengi tunazijua gari zinazotumika kwenye mashindano ya FIA, especially ya Formula 1. Magari na team kama Ferrari, Mercedes Benz, nk yanaonesha uwezo wao. Vile vile madereva wa hayo magari, kama...
59 Reactions
87 Replies
2K Views
Wakuu habari, Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya...
4 Reactions
77 Replies
2K Views
Habari Wapenda Soka Na Wasiopenda Soka. Ligi imetamatika kwa viungo wachezeshaji wakiwa bora katika kufunga magoli pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za magoili. Stephan Aziz Ki akiwa ndio...
9 Reactions
21 Replies
510 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,188
Posts
49,767,625
Back
Top Bottom