Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
Za Asubui wakuu,
Kuna NGO nyingine unaweza kuzidhania wapo serious kumbe sio. Niliapply kazi kwa Australian based organization. Wakani shortlist, after one week nkapiga first interview,,,then...
Nilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa.
Zimepita siku...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ni kisa cha kushangaza sana. Nimeikuta mtandao wa Quora.
Baada ya mazishi ya mwanaume mmoja, mbwa wake alitoweka ghafla na kwenda kusikojulikana. Siku mbili baadaye alikutwa akiwa amelala kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.