Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela? Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
8 Reactions
52 Replies
1K Views
Nilifanya kosa kazini sikuingia kama siku sita hivi bila ruhusa, siku niliyoingia kazini niliambiwa niandike maelezo, baada ya kuandika maelezo niliambiwa nirudi nyumbani nitaitwa. Zimepita siku...
0 Reactions
5 Replies
72 Views
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
39 Reactions
132 Replies
3K Views
Gym trainers sipo poa yani.
0 Reactions
9 Replies
126 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini...
17 Reactions
77 Replies
1K Views
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
1 Reactions
117 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,147
Posts
49,766,373
Back
Top Bottom