Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuri na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo.
Hawa mademu wa Kizaramo wana...
Kwa mujibu wa clip:
1. Anajinasibu kwa Utanzania na si Utanganyika
2. Anakiri kuwa Wazanzibar ni Wazanzibar
3. Inaonekana kuna watu walitamani ajitambulishe kwa Utanganyika lakini yeye akaamua...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
Nakubaliana na Mtaka,Kuna ma RC na DC wengi tuu wanafanya kazi zao za Kutatua Kero vizuri kabisa ukiacha wale waigizaji wachache kama Makongoro wa Rukwa ambae amezeeka hana jipya.
Lakini majority...
Kumekuwa na malalamiko ya wanafunzi na Wazazi wengi kupangiwa Tahasusi (Combinations) ambazo hawajazichagua hata kama wana vigezo vya kusoma tahasusi walizochagua.
Soma:
- KERO - Serikali...
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.