Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika.
Chama cha kwanza ni chama cha United National...
Habari za hapa wana jamii mimi ni mtanzania ila kwa sasa niko 🇰🇪 kenya ila mmmh life ya kenya kiukweli ni ngumu mnoo sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana 🇧🇼 nataka...
Iwe kweli au uongo kwa kiongozi wa umma tena Mkuu wa Mkoahutakiwi hata kuhisiwa! Sio tu kufanya hata hivyo anapaswa kuwajibika.
Lazima tulinde na kuheshimu dhamana tunazopewa kutetea hili kuwa ni...
Zipo seti kuu mbili za dhima za Vyombo vya Habari nyakati za uchaguzi, ya kwanza inatokana na msimamo wa Kitaaluma ikiunganishwa na Wajibu wao kwa jamii, ya pili ni wajibu wa Kisheria wa Vyombo...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO...
Wanajukwaa habari zenu!
Hivi umewahi kujiuliza, Kwa nini Mboga ni za lazima au muhimu unapokula ugali?
Je, umewahi kula ugali bila mboga yoyote ile? Inawezekana? Haiwezekani?
Kuna makundi makuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.