Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo,,,amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki Cha rikizo. Kwenu wadau,,,naombeni mwongozo...
1 Reactions
21 Replies
146 Views
Mimi ni mkazi wa Dodoma, nimekuwa nikiagizwa sana na baadhi ya wadau hasahasa wale wa mbali na Dodoma na hata waliopo Dodoma,kuwatatulia matatizo mbalimbali ambayo hayawalazimu wao kufika huku...
59 Reactions
332 Replies
22K Views
Jamaa walipitia mateso sana, ila ingekua vizuri Israel ikawakagua kwa karibu na kuwafuatilia isijetokea walisilimishwa na kuwa misukule ya dini ile ambapo wanaweza wakajilipua humo humo Israel...
4 Reactions
17 Replies
583 Views
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia. Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka. Awe baba kwa watoto wake...
24 Reactions
132 Replies
2K Views
Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipata😓 Mimi ni kijana wa makamo tu...
0 Reactions
1 Replies
22 Views
Habari wakuu Kuna mtu anataka kusoma bachelor za computer either IT, computer science evening class hvyo anauliza vyuo gani vinatoa Evening class upande wa hzo degree. Pia kwa upande wa degree...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nakumbuka huko nyuma viongozi wa haya mashirika walikuwa na pesa kama wafanyabiashara wakubwa kwasababu ya miradi ya deal. Hebu Watanzania jiulizeni kitu kimoja Bondi za serikali kwa miaka zaidi...
0 Reactions
1 Replies
29 Views
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
21 Reactions
109 Replies
3K Views
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15...
4 Reactions
44 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa TRC Kadogosa amesema nauli ya Treni ya Mchongoko( Mjusi) itakuwa Kati ya tsh 100,000 - 120,000 Source: Swahili Times Mlale Unono 😃😃
9 Reactions
65 Replies
830 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,740
Posts
49,865,040
Back
Top Bottom