Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

KUNUNUA MALAYA NI SAWA NA FISI KULA MIZOGA AU SIMBA ALÍYEZEEKA KULA VIBUDU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sio kila kiumbe kinapenda hekaheka, kutoana jasho, vipo viumbe hula mizoga kwa...
2 Reactions
14 Replies
139 Views
Wasalaam. Upuka maneno matupu yasiyo na uthibitisho. Tufuatane kwa pamoja na kwa umakini upate kujifunza. Nitaweka, Aya zote ili uweze kuthibitisha mwenyewe na kufanya rejea juu ya yote...
3 Reactions
20 Replies
151 Views
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo,,,amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki Cha rikizo. Kwenu wadau,,,naombeni mwongozo...
1 Reactions
26 Replies
198 Views
Nimekuwa mfuatiliaji mwezi mzima nimeona na mie nijiunge, rasmiii. Naombeni mnikaribisheee jamani.
14 Reactions
72 Replies
717 Views
Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo...
7 Reactions
19 Replies
291 Views
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life 1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za...
22 Reactions
99 Replies
1K Views
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
23 Reactions
128 Replies
4K Views
Guys nilifanya hivi: Nilituma 50,000 kwa mama. Then nikatuma 50,000 kwa Girlfriend. Majibu yalikuwa hivi MAMA: Asante sana baba ubarikiwe sana GF: Hii hela hata haitoshi maana nina mambo...
7 Reactions
13 Replies
302 Views
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki Malindi Kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
18 Reactions
208 Replies
3K Views
TAIFA STAR'S IMEBEBWA NA YANGA Ubora huu wa timu yetu ya taifa umeletwa na Yanga, kwa sasa taifa Stars wachezaji wanacheza kwa kujiamini hususani mabeki, kujiamini kwa wachezaji wetu wa Yanga...
3 Reactions
10 Replies
321 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,743
Posts
49,865,120
Back
Top Bottom