Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni umri gani no mzuri kumtahiri mtoto?
3 Reactions
16 Replies
348 Views
Samahani jamani mimi ninalipwa mshahara wa 300k kwa mwezi nafanya kazi katika kampuni moja hivi . Lakini pesa hii haikai kabisa, yaan hapa nilipo sijui natakiwa kutumia shngp kama pesa ya...
0 Reactions
4 Replies
80 Views
Katibu mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania Allen Sisi ameitaka Serikali kuufungia Mitandao wa X kwa Sababu unahamasisha mapenzi ya Jinsia Moja Source: Mwanahalisi Digital Aidha Uvccm nao...
1 Reactions
29 Replies
680 Views
Hii hapo chini ni gari Mazda CX5 ya 2014 ambayo unamlipa mjapan milioni 14 unusu. Kikokotoo cha kodi ya tra kwenye gari hilo ni milioni 10 unusu. Ukijumlisha unapata kama milioni 25 hivi. Hapo...
8 Reactions
72 Replies
1K Views
Rais wa Iran afariki na nchi ya Iran yaweka siku 5 za maombolezi [1] vs Makamu wa Rais wa Malawi afariki na nchi ya Malawi yaweka siku 21 za maombolezi [2] Soma zaidi: 1. Iran yatangaza siku 5...
0 Reactions
2 Replies
48 Views
Wewe je? Kumbukumbu zako zimeanzia ukiwa na umri gani au tukuache kwanza? Wakuu msiwachukulie poa hawa madogo na msitende mambo hasi mbele yao ukidhani wanasahau mapema kuna umri ukifika mtoto...
1 Reactions
6 Replies
104 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
269 Reactions
164K Replies
5M Views
Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja...
22 Reactions
61 Replies
2K Views
Habari wadau. Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba. Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
18 Reactions
33 Replies
845 Views
Wakuu salama humu, moya kwa moya kwenye mada Kuna manzi nilikuwa nae nilikuwa nikimpenda sana akaja niache kwasababu ambazo mpaka sasa hazielezeki, maana sikumfumania wala hakunifumania ni ugomvi...
1 Reactions
6 Replies
124 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,794
Posts
49,866,238
Back
Top Bottom