Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Iwe kweli au uongo kwa kiongozi wa umma tena Mkuu wa Mkoahutakiwi hata kuhisiwa! Sio tu kufanya hata hivyo anapaswa kuwajibika. Lazima tulinde na kuheshimu dhamana tunazopewa kutetea hili kuwa ni...
3 Reactions
60 Replies
407 Views
Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula alhamisi iliyopita.Jana nimekunywa dawa za kurahisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
Habari, Mimi ni kijana Nina miaka 24, Nina degree ya Sanaa ya geografia na mazingira, nipo zanzibar. Mwenye connection ya ajira ya kada hio tafadhali.
1 Reactions
8 Replies
64 Views
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani? Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
3 Reactions
196 Replies
3K Views
WhatsApp imeanzisha utaratibu wa kutuma sauti (voice note) ambayo mtumiwaji ataweza kuisikiliza mara moja tu (listen once) kama ambavyo ilivyo kwenye picha (view once). Ni maendeleo mazuri ya...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Nipo hapa kitambaa cheupe sinza naona jinsi watoto wa kike wadogo wanavyowapelembesha watu wazima wa kiume😀😀😀.
1 Reactions
6 Replies
73 Views
Kama Chura kiziwi hasikii cha kujiuliza maelezo ya kuanza kushindana kapataje. Je Chura kiziwi anasoma tu maelekeza na anapewa na nani? Kwanini chura kiziwi hataki katiba kama kweli anafanya vitu...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Arusha 🗓️ 12 Juni, 2024 POSTA TANZANIA KUSHIRIKIANA NA POSTA ZA AFRIKA Shirika la Posta Tanzania limejidhatiti kushirikiana na Posta nyingine Barani Afrika hususani katika huduma za Biashara...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mabosi wa kiume wamekuwa wakiwadhalilisha sana wanawake sehemu za kazi ila wanawake wengi hawana ujasiri wa kusema wazi. 1. Maofisini. 2. Vyuoni. Viongozi wengi sio waadilifu, wengi ni wasaliti...
3 Reactions
24 Replies
399 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,666
Posts
49,863,199
Back
Top Bottom