CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k
Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa....
Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha...
Katika ulimwengu wa sasa, ambapo mabadiliko ya kiteknolojia na kijamii yanaendelea kwa kasi, nchi nyingi zinafikiria mbinu za kipekee za kushughulikia masuala ya ajira na ustawi wa kiuchumi. Moja...
Kwa mujibu wa economic intelligence Afrika Ina Hifadhi ya asilimia 30% ya Madini mbalimbali Duniani.
Kutokana hivyo ikabainisha Nchi 10 Zinazoongoza Kwa Mauzo ya Madini mbalimbali kuanzia...
Usiku hapa niko na hasira kama zote.
Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi naye kwa ushawishi mkubwa wa ndugu.
Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila...
Habari wadau.
Kwenye media industry ya Tanzania kuna media mpya imeanzishwa ambayo inamilikiwa na Joseph Kusaga akishirikiana na msanii alikiba.
Kusaga ni mzoefu mmiliki wa media nyingi ikiwemo...
Nchi ya Senegal imeanza uzalishaji wa Mafuta ghafi Kwa mara ya kwanza ambapo itaanza na mapipa 100,000 Kwa siku Kupitia Kampuni ya Australia.
Visima vya Mafuta vilivyopo ndani ya Bahati(kama gesi...
Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung.
Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani.
Kuna jamaa angu...
Habari zenu,
Nina mtoto wa kike ambaye kesho, tarehe 13/06/24, anafikisha miaka 11 kamili (Happy birthday in advance my daughter).
Mtoto alizaliwa vizuri ingawa alikunywa maji machafu baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.