Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya...
Nimemis sana maneno matamu ya Tata nyamteki rafiki yangu Na rafiki wa baba yangu Tata Cyprian musiba mlio karibu nae muambieni mwizugukuru mgikuru amekumis Na amekukumbuka sana..
Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini.
Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani...
Wakuu salam!
Hili jambo nimeshalilalamikia kipindi cha nyuma lakini naona sasa imekuwa kero.
Binafsi nilisajili namba ya airtel na kuiweka katika simu. Muda wote ipo kwenye simu ila nikaswitch...
Namfuatilia Hapa mjadala wa kesi ya mtoto wa Rais Biden aliyetiwa hatiani na mahakama kuu ya huko na Biden mwenyewe kukiri ameridhika na mwenendo wa Kesi
Wenzetu Demokrasia inatekelezwa Kwa...
Habari ndugu WanajamiiForums,
Nina gari aina ya nissan duals ya mwaka 2011 nikipita kwenya mashimo nackia kama ingonga gonga kwa mbalii naomben anayeweza kujua tatzo itakuwa ni nini kabla...
Jamaa leo nilikuwa nae sehemu tunagonga moja mbili, sasa ghafra nikaona jamaa kabadilika. Nikamuuliza vipi mbona umechange ghafra!
Jamaa akaniambia Single mother kamtumia meseji inayosema...
Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine.
Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na...
Ebana wanajamvi inakuwaje?
Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi.
Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.