Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

hii aibu na uchafu wa kufanya tendo la ndoa kinyume na maumbile, ambalo pia ni kosa kisheria, inachochewa na nini hasa ndrugo zango? ni nini inasababisha kushamiri kwa hali hii? mbona sielwi...
2 Reactions
18 Replies
38 Views
Jamii yangu, leo napenda kukushirikisha uzoefu wangu wa hivi karibuni ambapo niliuza simu yangu na kutokuwa na huduma za mitandao ya kijamii kwa wiki mbili. Niligundua amani na utulivu ambao...
3 Reactions
14 Replies
94 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views
Naam, ni Hakika! Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024. Mashindano...
13 Reactions
63 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume mkakamavu na mtii mwenye umri wa miaka 22 naishi tabora,nina elimu ya kidato cha 6 PCB. Naandika andiko nikiwa nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali kwamfano:kuuza...
1 Reactions
6 Replies
55 Views
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo...
3 Reactions
39 Replies
377 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
524K Replies
30M Views
1. Majuzi nilipata msiba wa Kaka yangu hapo Muhimbili basi akapelekwa Mochwari. 2. Kimbembe siku ya kumtoa kwa ajili ya ibada na Maziko. 3. Wale wahudumu kama hujatoa pesa ya chai utashinda...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Jinsi ya ku ‘root’ simu yako ya Android. Utangulizi: Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za muhimu, burudani...
15 Reactions
399 Replies
90K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,768
Posts
49,865,725
Back
Top Bottom