Kama Kichwa kinavosema.
Baada ya kumaliza Chuo 2018 na kufanya kazi kwenye Sekta binafsi niliona ni kupoteza muda na mateso pale unapokaa miezi hadi mitatu bila mshahara nikaamua niache kazi na...
Mabosi wa kiume wamekuwa wakiwadhalilisha sana wanawake sehemu za kazi ila wanawake wengi hawana ujasiri wa kusema wazi.
1. Maofisini.
2. Vyuoni.
Viongozi wengi sio waadilifu, wengi ni wasaliti...
Kama Chura kiziwi hasikii cha kujiuliza maelezo ya kuanza kushindana kapataje. Je Chura kiziwi anasoma tu maelekeza na anapewa na nani? Kwanini chura kiziwi hataki katiba kama kweli anafanya vitu...
Hali zenu, SakoKwaBako!
Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo.
Tatizo langu ni la saikolojia...
Siku za karibuni,tutasikia Makamu wa Rais wa Malawi atazikwa.
Ukizingatia mkoa wa Ruvuma umepakana na nchi ya Malawi,ninashauri Mkuu wa huo mkoa amwakilishe Rais kwenye maxishi hayo ili kupunguza...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO...
Habarini wana JF, kiufupi nimeleta andiko hili humu ili muweze kunisaidia ushauri maana naanza kuona sasa hii sio hali ya kawaida maishani mwangu.
Tukiachilia mbali wale wapenzi wa kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.