Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine. Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na...
2 Reactions
9 Replies
257 Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha...
12 Reactions
45 Replies
290 Views
Mwendazake aliitumia vizuri nguvu yake ya uongozi kuwapa watu ubunge wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Mfano Khamis Taletale au Babu Tale, mbunge wa Sengerema Khamisi Tabasamu na wengine wote wenye...
9 Reactions
48 Replies
1K Views
Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika. Chama cha kwanza ni chama cha United National...
10 Reactions
49 Replies
438 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimefuatulia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali,iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
4 Reactions
111 Replies
947 Views
Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa...
0 Reactions
21 Replies
672 Views
Je, ni sahihi kusema CHADEMA ina wenyewe ambao wanaimiliki na hawataki kuachia madaraka? Utamu anaouona Mbowe akiwa tu mwenyekiti wa CHADEMA, angeupata urais si angetupilia mbali ukomo wa urais...
5 Reactions
50 Replies
733 Views
https://x.com/FKihamu/status/1800621196662206811
3 Reactions
6 Replies
162 Views
Wakuu salam! Hili jambo nimeshalilalamikia kipindi cha nyuma lakini naona sasa imekuwa kero. Binafsi nilisajili namba ya airtel na kuiweka katika simu. Muda wote ipo kwenye simu ila nikaswitch...
15 Reactions
62 Replies
3K Views
Mtu anakuja kwako ana onyesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, connection, uwepo wako, n.k. yawezekana hata wewe haupo vizuri kifedha, umebanwa na ratiba, kupata connection ni...
1 Reactions
3 Replies
4 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,622
Posts
49,861,887
Back
Top Bottom