Wazee, mwenye lonja ya lini wajuba wanatoa majina/kupiga simu ya watakaoitwa kwenye usaili awajuze wadau, watu alili zao hazitaki kufanya kazi nyingine zaidi ya kuwaza Depo tu.
NB: Depo ya...
Kwa mara ya mwanzo vikosi vya Hizbullah nchini Lebanon vimetoa tangazo la kuzirushia makombora ndege za kivita za Israel na kuzilazimisha kurudi zilikotoka.
Kufuatana na taarifa ya aljazeera...
Jaman naombeni ushauri kwa wale wenye uzoefu Wa biashara ya accessories nilikuwa naomba kujua mtaji wake wa kuanzia accessorie ipi inatoka zaid na zipi mzunguko wako ni mlefu na mengine mengi...
Rais Samia amekiri kusikia kelele na matusi ya watanzania juu ya sera zake na uongozi wake. Lakini amesema ameamua kujifanya kuwa kama "chura kiziwi" mpaka dhamira yake na lengo lake la...
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia.
Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka.
Awe baba kwa watoto wake...
Woga na hofu miongoni mwa wangwana wengi humu duniani, vimechelewesha na kukosesha watu vitu na mambo mengi mazuri sana waliyopaswa kua nayo au kuyafikia mapema katika dunia hii.
Majasiri wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.