Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kisa hiki ni cha kweli kilichotokea katika nchi moja ya afrika mashariki katika muda tajwa hapo juu. Fwatana nami.
1 Reactions
1 Replies
2 Views
  • Suggestion
Utangulizi. Ninapenda kumshukuru Mungu kwa fursa hii ya kushiriki mawazo yangu katika jukwaa hili la JF - Stories of Changes. Leo, ninapenda kushiriki maoni yangu kuhusu sekta yetu ya afya, ambayo...
0 Reactions
3 Replies
38 Views
CEO wa PPP Bwana David Kafulila katika Ukurasa wake wa tweeter ( X ) ameisifu Serikali ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa ndio nchi pekee inayokopa ndani kwa riba ndogo...
6 Reactions
87 Replies
597 Views
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika. Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao. Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
16 Reactions
90 Replies
3K Views
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati...
89 Reactions
22K Replies
1M Views
Usiku hapa niko na hasira kama zote. Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi naye kwa ushawishi mkubwa wa ndugu. Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila...
3 Reactions
37 Replies
613 Views
The Weekend - Out of Time
19 Reactions
4K Replies
78K Views
kwa namna na jinsi unavyo vaa mavazi yako, kwa kauli na jinsi unavyoongea na watu, kuchangamana na rika mbalimbali, kuelewana na watu, na kushirikiana na wengine kwenye mambo mablimbali mathalani...
3 Reactions
7 Replies
33 Views
Balozi Hassan Iddi Mwamweta wa Tanzania amewasilisha Hati ya utambulisho kwa Baba Mtakatifu Papa Francisco anayeketi kitini pake Mtume Petro Sherehe za utambulisho zilihudhuriwa na makardinali wa...
1 Reactions
13 Replies
140 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimefuatilia mijadala mbalimbali ya kisiasa inapokuwa ikifanyika katika maeneo mbalimbali, iwe ni mitaani au kwenye mitandao ya kijamii. Nimekuja kugundua kuwa CHADEMA na...
4 Reactions
129 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,828
Posts
49,867,079
Back
Top Bottom