Habari wakuu.
Kwa wakazi na wenyeji wa Iringa, naomba kufahamishwa vivutio au sehemu ambazo zinavutia nje ya mji ambazo itakuwa day trip...namaanisha nitakwenda na kurudi kulala mjini...
Katibu mkuu wa Chadema John Mnyika amesema wamealikwa kwenye kikao Cha kupitia Kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa Lakini hawajapewa rasimu ya Kanuni Ili wazipitie na kikao ni June 15...
Nikiwa kama mwananchi ninapenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa hawa Waheshimiwa wawili. Kwa kweli wamekuwa ni viongozi wa mfano ambao kwa kiasi kikubwa wanashughulikia matatizo ya watanzania...
Habari wadau, nikiwa Kama kijana naepambana katika kizazi hiki Cha teknolojia, Mimi ni mdau mkubwa Sana wa mitandao ya kijamii, na ni miongoni mwa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii kujipatia...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa...
Je, akifa kamanda naye hupewa yale majini mabikira 72 au atazidishiwa?
============
BEIRUT, June 12 (Reuters) - An Israeli strike on the village of Jouya in southern Lebanon late Tuesday killed...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.